HIVI HAYA MADUDE BADO YAPO ??

Kipindi hiki hili dude limenikuta mkubwa kidogo, nilikuwa napambana na mambo ya masomo bwana. Japo Game nimecheza sana ila siyo hili Brick Game na msauti wake mbayaa.
Ile sauti ya bwii bwii bwii ngaa ngaa
Ukiachana na izo lazima utakuwa umecheza mortal kombat na vice city (GTA)
 
Hahaha yapo ila sio mengi kama zamani, ukiingia playstore wametengeneza app zake kuna siku nilizijaribu kuchezea - duh! kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…