Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
1: Kwa kila watu 200 unaokutana nao mtaani kwenu basi wa 2 ni mizuka (ghost).
2: Usiipende kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku wa manane kuanzia saa 9 hadi saa 11, sababu mida hiyo taswira unayoiona kwenye kioo kawaida huwa sio halisia.
3: Mizuka huwa wanapenda kicheko cha binadamu kadri unavyocheka zaidi ndivyo unavyozidi kuwavutia zaidi.
4: Ukihisi mtu alikuwa amekaa kwenye kitanda chako basi tambua haupo pekeako.
5: Ukiwa unatembea na ukahisi kuna mtu nyuma yako basi huo ni mzimu unakuangalia. Binadamu wana uwezo wa kuhisi uwepo wa mizuka.
6: Ukiwa usingizini ukaota ndoto umeuona mzuka basi jua kuna mzuka umekukazia macho unakutazama.
7: Mda mwingine ukipiga miayo basi tambua kuna mzuka unajaribu kukuwekea kitu mdomoni.