Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

Wewe hapo utakuwa mpotoshaji lazima

Hasa io ya mwisho
 
Wewe bwana ebu kwanza acha nicheke 😂😂😂😂😂 yaani unakubali mwenyewe alafu unakata mwenyewe,huelewek kama unataka nini unaulizwa una njaa unajibu ndio 😂😂 unaulizwa Tena umeshiba unajibu ndio 😂😂😂😂 MAnyuziiiiiiiiiiiiiii 😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
Hahaha sielewekagi kama Mwanamke malaya haeleweki anataka six cars au six pack
Ushirikina upo ila siuamini na sijawahi kuogopa
 
Wewe ni Mzuka mbona unabisha bila reasoning.
Hakuna chochote, ni kutishana tu; nimekesha sana nikiwa nje kwa muda mrefu, nimetazama vioo usiku wa manane kwa muda mrefu; hakuna chochote ni kutishana.
Watu wanacheza na akili za watu tu.​
 
1: Kwa kila watu 200 unaokutana nao mtaani kwenu basi wa 2 ni mizuka (ghost).

2: Usiipende kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku wa manane kuanzia saa 9 hadi saa 11, sababu mida hiyo taswira unayoiona kwenye kioo kawaida huwa sio halisia.

3: Mizuka huwa wanapenda kicheko cha binadamu kadri unavyocheka zaidi ndivyo unavyozidi kuwavutia zaidi.

4: Ukihisi mtu alikuwa amekaa kwenye kitanda chako basi tambua haupo pekeako.

5: Ukiwa unatembea na ukahisi kuna mtu nyuma yako basi huo ni mzimu unakuangalia. Binadamu wana uwezo wa kuhisi uwepo wa mizuka.

6: Ukiwa usingizini ukaota ndoto umeuona mzuka basi jua kuna mzuka umekukazia macho unakutazama.

7: Mda mwingine ukipiga miayo basi tambua kuna mzuka unajaribu kukuwekea kitu mdomoni.
Ukihisi kuna mzuka popote, ujue ni mimi.
 
Hahaha sielewekagi kama Mwanamke malaya haeleweki anataka six cars au six pack
Ushirikina upo ila siuamini na sijawahi kuogopa
IMG-20250201-WA0585.jpg

Una Manisha hawa mkuu🤷🏽‍♂️😂😂
 
Hizi ni fikra za babu zetu, ambao hawakuamini kufa kwa ugonjwa bali waliamini mtu akifa karogwa.
 
Back
Top Bottom