Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

Juzi usiku nimeshtuka mida ya saa 6 hivi nikahisi kama kuna mtu anatembea sebuleni halfu akaingia hadi chumbani,kila nikitaka kuamka kwenda kuangalia kuna kama nguvu inanikandamiza nibakie hapo hapo kitandani ....baada kama ya dakika 10 hivi nikafanikiwa kuamka kwenda kuangalia nikachungulia nje HAMNA CHOCHOTE nikarudi kulala....
NIkasali then nikarudi kulala
NAJUA USHIRIKINA UPO ila huwa siamini na siwaogopi
MUDA MWINGINE MAWENGE TU HALFU TUNASEMA ETI WACHAWI WALIKUJA USKU
HAMNA CHOCHOTE
Wewe bwana ebu kwanza acha nicheke 😂😂😂😂😂 yaani unakubali mwenyewe alafu unakata mwenyewe,huelewek kama unataka nini unaulizwa una njaa unajibu ndio 😂😂 unaulizwa Tena umeshiba unajibu ndio 😂😂😂😂 MAnyuziiiiiiiiiiiiiii 😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Anakataa ukweli kwa kujifariji kuwa ni ndoto tu 😁😁😁
 
Kuna boya mmoja hapa JF anaitwa Rakims alisema ukichukua kitana na apple ukawa unatafuna lile apple huku unachana nywele na kujitazama kwenye kioo usiku wa manane utaona sura ya mwanamke utakayekuja kumuoa. Wiki nzima nilifakamia ma-apple lakini sikuona kitu. Nilichoambulia ni utamu wa apple tu.
Anatakiwa akulipe gharama zako mkuu
 
Nime-observe tu.

Kuna kitu hakiko sawa kwa watu wengi ninaowaona mitaani na barabarani!

Wengi wako kama manyumbu fulani hivi!

Anyway....
Na kuna wale ambao wapo na chuki na makasiriko muda wote. Unakuta mtu anakichukia pasipo sababu. Akijua mpango wako anakuja akupe support halafu support yenyewe inakua ya kukupoteza kabisa. Ukijua kua anakupoteza, ukatafuta njia sahihi, hata simu yako hapkei tena. Ananuna
 
😂😂😂😂 inashangaza sana....

Wengine labda mashetani waliovaa mwili kama KIINI MACHO tu.....

Ukimfuatilia vizuri uone anaishi wapi utagundua hana hata makazi, anazuga zuga anapotelea mitini, kesho tena yumo!
 
Kuna boya mmoja hapa JF anaitwa Rakims alisema ukichukua kitana na apple ukawa unatafuna lile apple huku unachana nywele na kujitazama kwenye kioo usiku wa manane utaona sura ya mwanamke utakayekuja kumuoa. Wiki nzima nilifakamia ma-apple lakini sikuona kitu. Nilichoambulia ni utamu wa apple tu.
Atleast ulifaidi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom