Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
🤣🤣🤣🤣Kuna boya mmoja hapa JF anaitwa Rakims alisema ukichukua kitana na apple ukawa unatafuna lile apple huku unachana nywele na kujitazama kwenye kioo usiku wa manane utaona sura ya mwanamke utakayekuja kumuoa. Wiki nzima nilifakamia ma-apple lakini sikuona kitu. Nilichoambulia ni utamu wa apple tu.