Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
7,564
Reaction score
9,043
Hill ni swali fikirishi, kuweza kuona mwelekro was matukio haya. Nini chanzo, walengwa kina nani? Sababu Nini? Wahusika kina Nani? Adui wa Mbowe na Lissu nani? Kwanini matukio yote tatokee Dodoma? Tena eneo lilelile? Ulinzi vipi ulienda wapi? Maswali Ni mengi kwa kweli.
 
Yaani ukiwa tofauti na itikadi ya utawala sijui unakuwa sio binadam
 
Halafu kwa nini wanaoshambuliwa wawe wabunge wa Upinzani tu?
 
Hivi tukiwahusisha waliowahi kutoa kauli za kutaka Hawa wsuwawe tunakosea?
 
Ulevi unaaasumbua sana wabunge wa chadema
 
Yaani ukiwa tofauti na itikadi ya utawala sijui unakuwa sio binadam
Ukiwa JF tunakutafasili kuwa una uelewa wa kutosha wa kupambanua mambo/vitu. Iweje watu wakuvamie na wakupige jeraha moja tu tena mguuni tu? Ina maana Mbowe hakuonyesha upinzani wowote kiasi kwamba wakati huo wa majibizano aumie sehemu nyingine yoyote ya mwili? Au walikubaliana na wavamizi hao kuwa wampige mguuni tu na wasimpige sehemu nyingine yoyote ya mwili wake?
 
Hebu jadili mada jibu swali kwanini wanaojeruhiwa Ni wabunge wa upinzani tu? Tena Chadema?
 
Hi tukitumia transfer of knowledge Kama watu waliowahi kutoa kauli za vitisho kwa viongozi wa upinzani tutakuwa tumekosea ,maana nikiweka ushahidi hapa Jf wanahaha kweli kuniblock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…