Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

IMG_20200609_171702.jpg
 
Ukiona mwenzako anaanza kutumia bisibisi, viwembe, mayai viza, mbao zenye misumari aka ngeta basi ujue kazi umeshaimaliza!!
 
Halafu swali lingine Mungu wa Dar na Omary Wawa walifuata Nini Dodoma?
 
Kama wanadhani kushambulia viongozi wa upinzani ni kumtengenezea njia MAGUFULI wanajidanganya.
Watanzania wanaona na wanasikia
 
Ukiwa JF tunakutafasili kuwa una uelewa wa kutosha wa kupambanua mambo/vitu. Iweje watu wakuvamie na wakupige jeraha moja tu tena mguuni tu? Ina maana Mbowe hakuonyesha upinzani wowote kiasi kwamba wakati huo wa majibizano aumie sehemu nyingine yoyote ya mwili? Au walikubaliana na wavamizi hao kuwa wampige mguuni tu na wasimpige sehemu nyingine yoyote ya mwili wake?
Heading ya Uzi umeisoma vizuri mkuu. yamkini unajisema mwenyewe kuwa huna uelewa wa kupambanua mambo unataka kusema hata huna uelewa wa kutambua mchakato wa tukio la LISU
 
Back
Top Bottom