Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,511
Reaction score
4,369
Mko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
 
Ajira za watoto wa wakubwa hizo. Kajambanani huwa ni wachache tu ili kuondoa soo.
 
Wewe kafanye usaili Utumishi regardless ya shirika gani ukifaulu utawekwa kwenye Kanzi data au database later on ikitokea chance kwa ayo mashirika utaitwa kazi bila hata kusikia wao wametangaza Ajira

Mmoja wa Ajila portal ulikuwa mzuri sana na the Late JPM alijotahidi kusimamia Vizuri, Kufanyisha watu interview ni gharama ya muda na resource ndio mana unaweza kufanya interview ya Tanroad kama IT then BOT wakitaka mtu kama ulifaulu na ukawa kwenye kazi data BOT aki request utumishi unapelekwa uko.

Now naona mambo ya zamani yanarudi kila Taasisi inataka kufanya interview kivyake vyake ili mambo ya vimemo na Kujuani yarejee tena.
 
Taesa miaka ya hivi karibuni wao ndio wanakutafutia internship. Uko tayari kuwa internship miaka 4. Na mwisho wa siku unaweza usiajiriwe.

Yupo dogo internship shirika moja la serikali kitengo cha procurement anapiga kazi na ameaminiwa mpaka na DG na kwenye vikao kwa DG anaingia lakini maskini hajaajiriwa ila kwa utendaji wake wa kazi ulivyo mzuri ataajiriwa tuu.

Anatumwa kila kazi na anaperform above standard. Shout.out kwako Sulleiman
 
Mko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
Ngoja nikujibu ajira zote zipo chini ya sekretarieti ya ajira kushirikiana na hizo taasisi,,,pia jua taasisis ina ajiri kama imetenga hizo nafasi,,,pia kuna njia ya kujaza nafasi kwa uhamisho
 
Mtafutaye huwa hachoki, endelea kuzitafuta kwenye matangazo utazipata tu. Mi mwenyewe natafuta shule ya msingi kufundisha na sijapata.
 
Taesa miaka ya hivi karibuni wao ndio wanakutafutia internship. Uko tayari kuwa internship miaka 4. Na mwisho wa siku unaweza usiajiriwe.

Yupo dogo internship shirika moja la serikali kitengo cha procurement anapiga kazi na ameaminiwa mpaka na DG na kwenye vikao kwa DG anaingia lakini maskini hajaajiriwa ila kwa utendaji wake wa kazi ulivyo mzuri ataajiriwa tuu.

Anatumwa kila kazi na anaperform above standard. Shout.out kwako Sulleiman
Mungu amsaidie maana nafas inatoka alafu wanaleta mtu mpya inauma sana.
 
Back
Top Bottom