If you’re in a waiting season, my challenge is to wait in faith. Wait, knowing that God controls time, that He can do things fast. You’re not falling behind. One touch of God’s favor will put you years down the road.Ngoja nikujibu ajira zote zipo chini ya sekretarieti ya ajira kushirikiana na hizo taasisi,,,pia jua taasisis ina ajiri kama imetenga hizo nafasi,,,pia kuna njia ya kujaza nafasi kwa uhamisho
Mtafutaye huwa hachoki, endelea kuzitafuta kwenye matangazo utazipata tu. Mi mwenyewe natafuta shule ya msingi kufundisha na sijapata.
HESLB mara ya mwisho kazi ya kuajiri waliwapa UTUMISHI na niliapply kupitia ajira portal mkuu,pia kabla ya kuandika kitu tuwe tunafanya ata uchunguzi kidogo,na ayo mashirika ukiona yapo kimya hayatangazi ajira maana yake waliopo wanatosha na pia sikuhizi wanapelekewa watumishi kupitia kazi za LGA&MDAMko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
jamaa hajafanya ata uchunguzi anakurupuka tu na pia hajui taratibu za sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma,hajui kama mashirika sikuizi yanapeleka order tu utumishi ya tunahitaji wataalamu na sio lazima waitaje iyo taasisiZinatangazwa ajira portal sema ni kwa nadra sana, ila hiyo 11.CAG unamaanisha NAOT. Hao wametangaza juzi kati tu hapo.
Upo sahihi kuna mkeka niliona mtu mmoja amepelekwa EWURA mwingine LATRA. Hata TCRA mwaka jana walitangaza nafasi nyingi tu za ajira kwa watu wa TEHAMA.jamaa hajafanya ata uchunguzi anakurupuka tu na pia hajui taratibu za sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma,hajui kama mashirika sikuizi yanapeleka order tu utumishi ya tunahitaji wataalamu na sio lazima waitaje iyo taasisi
ndio wanachofanya sikuhizi kwa mfano uwa wanatanga kazi za LGA&MDA wakimanisha LGA(LOCAL GOVERMENT AUTHORITY AND MDA(MINISTRIES,DEPARTMENTS ,AGENCIES) Hapo wanaofaulu oral wanatupwa popote kutokana na orders walizopokea hapo unajikuta popote tu halmashauri,wizarani,kwenye bodi za mazao nkUpo sahihi kuna mkeka niliona mtu mmoja amepelekwa EWURA mwingine LATRA. Hata TCRA mwaka jana walitangaza nafasi nyingi tu za ajira kwa watu wa TEHAMA.