kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Unapotosha watu, kwa nini ?Huwezi kuzikuta hata siku moja
Jiongeze
Hakuna,sijawahi zionaTembelea ajira portal mara kwa mara.
Ngoja nikujibu ajira zote zipo chini ya sekretarieti ya ajira kushirikiana na hizo taasisi,,,pia jua taasisis ina ajiri kama imetenga hizo nafasi,,,pia kuna njia ya kujaza nafasi kwa uhamishoMko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
Do your assignment.Hakuna,sijawahi ziona
Mungu amsaidie maana nafas inatoka alafu wanaleta mtu mpya inauma sana.Taesa miaka ya hivi karibuni wao ndio wanakutafutia internship. Uko tayari kuwa internship miaka 4. Na mwisho wa siku unaweza usiajiriwe.
Yupo dogo internship shirika moja la serikali kitengo cha procurement anapiga kazi na ameaminiwa mpaka na DG na kwenye vikao kwa DG anaingia lakini maskini hajaajiriwa ila kwa utendaji wake wa kazi ulivyo mzuri ataajiriwa tuu.
Anatumwa kila kazi na anaperform above standard. Shout.out kwako Sulleiman