Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

Zinatangazwa ajira portal sema ni kwa nadra sana, ila hiyo 11.CAG unamaanisha NAOT. Hao wametangaza juzi kati tu hapo.
 
Naot unawasingizia tu,hawana asali yoyote,labda hizo per diem tu na zenyewe ni za muda tu.halafu pia kazi zao zinatangazwa ajira portal sana tu?
 
If you’re in a waiting season, my challenge is to wait in faith. Wait, knowing that God controls time, that He can do things fast. You’re not falling behind. One touch of God’s favor will put you years down the road.
 
HESLB mara ya mwisho kazi ya kuajiri waliwapa UTUMISHI na niliapply kupitia ajira portal mkuu,pia kabla ya kuandika kitu tuwe tunafanya ata uchunguzi kidogo,na ayo mashirika ukiona yapo kimya hayatangazi ajira maana yake waliopo wanatosha na pia sikuhizi wanapelekewa watumishi kupitia kazi za LGA&MDA
 
Zinatangazwa ajira portal sema ni kwa nadra sana, ila hiyo 11.CAG unamaanisha NAOT. Hao wametangaza juzi kati tu hapo.
jamaa hajafanya ata uchunguzi anakurupuka tu na pia hajui taratibu za sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma,hajui kama mashirika sikuizi yanapeleka order tu utumishi ya tunahitaji wataalamu na sio lazima waitaje iyo taasisi
 
Upo sahihi kuna mkeka niliona mtu mmoja amepelekwa EWURA mwingine LATRA. Hata TCRA mwaka jana walitangaza nafasi nyingi tu za ajira kwa watu wa TEHAMA.
 
Upo sahihi kuna mkeka niliona mtu mmoja amepelekwa EWURA mwingine LATRA. Hata TCRA mwaka jana walitangaza nafasi nyingi tu za ajira kwa watu wa TEHAMA.
ndio wanachofanya sikuhizi kwa mfano uwa wanatanga kazi za LGA&MDA wakimanisha LGA(LOCAL GOVERMENT AUTHORITY AND MDA(MINISTRIES,DEPARTMENTS ,AGENCIES) Hapo wanaofaulu oral wanatupwa popote kutokana na orders walizopokea hapo unajikuta popote tu halmashauri,wizarani,kwenye bodi za mazao nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…