Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,

Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.

Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa

Mjini kuzuri.
 
Ni mgeni hili jiji, baada ya kutoka mikoani nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.

Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa mjini kuzuri.
 
Ni.mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani.nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maaana naona sasa hiv bei yake imeshuka sana.yaam apple zaman kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya sauzi.je huko sauz kumetokea nin? Bei kushuka hiv kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chin san tena makubwa makubwa.mjini kuzuri
Kama yameoza usile
 
Kwani kwa muonekano
Yamearibika au kuoza ?

Ova
 
Yanakifu haraka haya kwanin
Mwezi jana kuna swahiba aliniita kilinge flani nikanywe supu ya kuku wa kienyeji, ghafla nyama laiiiniiii na inakereketa hatari kwenye koo, nikajua tayari nimeshapigwa na kitu kizito kichwani.

Nilikula nusu ya kidari tu nikiacha paja na kuendelea na mishe zangu [emoji28]

Kweli Wafanyabiashara wanaangalia pesa, afya kufa kivyako [emoji2]
 
We kula tu kama umeamua usiulize ulize...
Ukijua undani wa tunavyokula hutakaa ule tena
 
Yatakuwa yale ya Tanga wameyagonga sticker [emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhan.jana nimeyaona nilitak kuyapig picha.ni green na mengine mekunduuu so big halafu jero jero pale feri.ya tanga nayajua na ya iringa nayajua huwa sio makubwa vile.anyway mjin hapa kila mtu anatafuta unafuu.hiv vitu kula kula ni kuwa makin sana.
 
Nilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.
Huyo nae ndio mchaw tu.unashidwa nin kuweka chupa yenye maji akawa anayaminyia.mim huw nakuwa na njaa sana mjin ila kila nikicheki mazingira ya misos huwa nachoka.food inspector hakuna tena
 
Wewe utakuwa unanunua ma apple ya Njombe na makete
 
Kwa kule kariakoo unayapata kwa jero, ila ni yale yaliyochambuliwa siyo yale high quality..
 
Back
Top Bottom