julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,
Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.
Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa
Mjini kuzuri.