Kama yameoza usileNi.mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani.nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maaana naona sasa hiv bei yake imeshuka sana.yaam apple zaman kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya sauzi.je huko sauz kumetokea nin? Bei kushuka hiv kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chin san tena makubwa makubwa.mjini kuzuri
Wap huko?Makubwa na mazuri sana tena ila bei ndio imeshuka saana.jion huwa mpka 300 mia tatu
Mwezi jana kuna swahiba aliniita kilinge flani nikanywe supu ya kuku wa kienyeji, ghafla nyama laiiiniiii na inakereketa hatari kwenye koo, nikajua tayari nimeshapigwa na kitu kizito kichwani.Yanakifu haraka haya kwanin
Sidhan.jana nimeyaona nilitak kuyapig picha.ni green na mengine mekunduuu so big halafu jero jero pale feri.ya tanga nayajua na ya iringa nayajua huwa sio makubwa vile.anyway mjin hapa kila mtu anatafuta unafuu.hiv vitu kula kula ni kuwa makin sana.Yatakuwa yale ya Tanga wameyagonga sticker [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo nae ndio mchaw tu.unashidwa nin kuweka chupa yenye maji akawa anayaminyia.mim huw nakuwa na njaa sana mjin ila kila nikicheki mazingira ya misos huwa nachoka.food inspector hakuna tenaNilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.