Hivi Hayati Magufuli alikosaje akili ya kutengeneza kitu cha maana kama Royal Tour?

Na ujenzi wa uwanja wa chato je!!
 
..labda Royal Tour hawawahoji viongozi wasiozungumza Kiingereza.

..Ndio maana wengi tunasisitiza kwamba tusipojifunza Kiingereza tunajinyima fursa.
I think one of the bottlenecks of our education system, is the little emphasis on the power of communication skills. It makes a huge difference, if one communicates well.
 
Kagame sasa anataka Rwanda izalishe chakula na kulisha dunia. I hope tutaanza kumuelewa. PK ana roho ngumu sana. Ila bila mtu wa aina hii aliyonayo, Rwanda isingetawalika. We tend to underestimates some things
 
Alikuwa muuwaji, mtu muuwaji hafai kumbuka tukio la Kaini kumuua ndugu yake Abel.

Mungu akamlaani na kumfukuza kwenda mbali na jamaa zake. Na kizazi chake kikafutwa.

Magufuri hakuwa na zuri hata moja alikuwa laana kwa nchi yetu
Ongelea kuhusu vyeti feki. Alisadia au hakusadia kubaini wanaotumia vyeti vya wengine?? Ukiachana na Bashite
 
Hadi sasa sukuma gang mmeshapigwa KO labda mmebakia kushindania kusafisha kaburi
Hata wewe na anayekulipa mtakufa tu hivyo usishangilie kifo cha magu simply kwa sababu unaweza kuiba sasa.
 
Taifa la walalamikaji ndio hili, tunajua sana kukosoa na mtu akija na ubunifu wa kipekee hatuoni anachokifanya.

Sababu ni uvivu tu wa kuumiza vichwa.
Hakika mkuu. Taifa letu limejaa wajuaji mno. Kila kitu ni kukataa ukimuuliza mtu unataka wafanyeje hana jibu la kutupa mwanga. Kwangu mimi haya ya royal tour wamejitahidi kubuni njia za kiutangaza utalii wetu. Afu wanasema eti kwanini wasichukue waigizaji sijui wa Hollywood. Hapo najiuliza tu pesa ambayo ingetumika kwa waigizaji wa hollywood na kila.kitu ingekua kubwa mno. Tungeanza kulalamika tena upigaji upigaji.
 
Sasa hizo timu ni maarufu, hivi Petro ni maarufu? Anafollowers wangapi mpaka atangaze utalii?
Kwani hiyo royal tour kule kwa kagame na Israel kule waliohusika kuitengeneza ni kina nani..? Vitu vingine acheni ujuaji wa kiwaki.
 
Watanzania shukrani hawana kabisa. Hawana jema lolote linaloweza kufanyika.
 
Watanzania shukrani hawana kabisa. Hawana jema lolote linaloweza kufanyika.
Kabisa mkuu. Acha hilo walilosema kuwa wataingia mkatana na Atletico Madrid likitimia na mkwanja wake sio kdgo utaona ujuaji wa watz. Wakati katika dunia hii ya kibepari kama hutoi basi huwezi kula zao. Kwa tafsiri ile ile ya kikwete kama unataka kula na wewe lazima uliwe kdogo
 
kila kiongozi ana mipango yake, Magufuli alikuwa na mpango wa watalii na wawekezaji waje wenyewe kufuata mazuri ya nchi na sio kwenda kuwaomba waje
 
kila kiongozi ana mipango yake, Magufuli alikuwa na mpango wa watalii na wawekezaji waje wenyewe kufuata mazuri ya nchi na sio kwenda kuwaomba waje
Ni sera iliyokuwa na upungufu mwingi. Alieleweka vibaya kwa baadhi ya wazungu. Hata kama alikuwa na nia njema hao hao waliomuelewa vibaya wakampa tafsiri mbaya katika vyombo vyao vya habari.

Alieleweka kama ni kiongozi wa aina ya Mugabe, kwamba amejawa na kiburi. SSH amejitahidi kuifuta hiyo dhana ya majivuno.
 
kila kiongozi ana mipango yake, Magufuli alikuwa na mpango wa watalii na wawekezaji waje wenyewe kufuata mazuri ya nchi na sio kwenda kuwaomba waje
Mema ya kutekana.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…