Hivi Hayati Magufuli alikosaje akili ya kutengeneza kitu cha maana kama Royal Tour?

Mkuu, tunaanza kupangiana vitu vya kusema? Nineamua kuanza na Mzilankende.
Nilivyosema mbona hukusema sikuwa na maana yakukupangia nini chakusema, neno hilo nmelitumia kama mlinganisho wa JK Vs sami na ndio maana nikakuambia kila mtu alikuwa na plan zake
 
Wakuu,

Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.

Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.

Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au Kujenga Uwanja wa Chato kipi bora?

Movie ya Royal Tour iligharimu Tsh Bilioni 7. Na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato nyumbani kwako na Mwenda zake Magufuli Ulijengwa kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.

Ndiyo maana tunaposema Mama anaupoga mwingi eleweni.

Baada ya Royal tour tumepata faida sana hadi tunaanza kusafirisha wanyama? Kwa hiyo hao watalii watakujaje bila viwanja vya ndege?

Hadi sasa sijaona kabisa kitu kipya kimeletwa na royal tour labda wewe mwana CCM mwenzie uniambie
 
Wakuu,

Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.

Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.

Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au Kujenga Uwanja wa Chato kipi bora?

Movie ya Royal Tour iligharimu Tsh Bilioni 7. Na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato nyumbani kwako na Mwenda zake Magufuli Ulijengwa kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.

Ndiyo maana tunaposema Mama anaupoga mwingi eleweni.
Mwacheni Mzee Apumzike jamani,dah!!!.
 
Sukuma gang hawawezi kukuelewa ndugu yangu.
 
..labda Royal Tour hawawahoji viongozi wasiozungumza Kiingereza.

..Ndio maana wengi tunasisitiza kwamba tusipojifunza Kiingereza tunajinyima fursa.
Zeeee zeeeee reeekiiiiii
 
Mimi sijamsema. Bali nimelinganisha mambo ya Kitaifa. Magufuli alidai anajenga Uwanja watalii watue moja kwa moja kwenda Mbunga ya chato. Sasa Uwanja wananchi wanaanika Udaga.
Kwani zile traffic light bado zipo pale chato?
 
Ni mtu MPUMBAVU pekee anayeweza kufanya huo upuuzi wa kutumia mabilioni ya pesa bila kuwa na uhakika wa return wala sera Bora za kuvutia utalii wakati huo kuna wanafunzi hawana madawati na hospital hazina madawa .Royal tour ni AIBU kwa viongozi na taifa kiujumla.
Sukuma gang safari hii lazima wengiwenu mtajinyonga
 
Wote hao Wana mimba ya magufuli ya miezi 18.Wameshindwa kujifungua.Wana mapacha.Ndio maana unaona anaanzisha thread haina miguu wa kichwa.Kumbe mimba inasumbua.
Nasikia wewe na Sabaya ndiyo mlikuwa chawa wake
 
Wakuu,

Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.

Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.

Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au Kujenga Uwanja wa Chato kipi bora?

Movie ya Royal Tour iligharimu Tsh Bilioni 7. Na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato nyumbani kwako na Mwenda zake Magufuli Ulijengwa kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.

Ndiyo maana tunaposema Mama anaupoga mwingi eleweni.
Mwendazake hadi jambo dogo kama hili lilimshinda 😬😬

Samia kalisema 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220606-143538.png
    Screenshot_20220606-143538.png
    139.6 KB · Views: 7
Wakuu,

Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.

Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.

Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au Kujenga Uwanja wa Chato kipi bora?

Movie ya Royal Tour iligharimu Tsh Bilioni 7. Na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato nyumbani kwako na Mwenda zake Magufuli Ulijengwa kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.

Ndiyo maana tunaposema Mama anaupoga mwingi eleweni.
Hajawahi kumiliki akili
 
We fala huelewi chochote kuhusu Royal Tour na waaandaji wake.

figganigga Kwanza uelewe hii ilikuwa idea ya Wamarekani.
Haikuwa idea ya watanzania na ndio maana hatimiliki imebaki kuwa yao.

Pamoja na kwamba tumepigwa zaidi ya Bilioni 12 za kitanzania.

Huu ni mpango ambao huwa mahsusi kwa kuwaingia viongozi wenye misimamo mikali dhidi ya nchi zao.

Kwa Taarifa yako hiyo haikuwa mipango ya mama yenu Samia.
Yeye amefanya kuletewa mezani na wajanja waliomtumia Dk Hassan Abbas.

Ni mipango ya vitengo ndani ya CIA.maalumu kwa kazi kama hizo.

Angalia orodha ya viongozi waliowahi kufanyiwa project ya Royal Tour Duniani na nchi zao ndio utaelewa.

Na kwa taarifa yako ni kwamba huo mpango wa Royal Tour ulianza kabla hata ya Samia kuupakata urais kupitia katiba.

Ulikuwa ni mpango mahsusi kwa Wamarekani kumuingia Magufuli kupitia Royal Tour kama walivyokuwa wamefanikiwa kumuingia Paul Kagame wa Rwanda na sasa wanachota madini ya DRC kupitia Rwanda bila shida.

Na huwasikii Marekani kumkemea tena Kagame pamoja na Udikteta wake wote.

Kwa mara ya kwanza Greebarg kuingia Tanzania alipokelewa na waziri wa maliasili wa wakati huo Khamis Kigwangalla, mbunge wa Nzega.

Mchongo mzima uliandaliwa kupitia kwa Rostam Aziz ambaye ni jirani yake Pale Igunga.
Na wote walishiriki hafla ndogo ya chakula cha usiku kwenye ubalozi wa Marekani nchini.

Baada ya kifo cha ghafla cha Marehemu Magufuli,ikawa imewarahisishia kazi zaidi kama tulivyokuja kushuhudia.

Nimekuwekea na ushahidi wa picha hapo chini ili unielewe. View attachment 2252434
Naona umegusa mfupa...tunashukuru kwa kuweka record sawa.
 
Ni mtu MPUMBAVU pekee anayeweza kufanya huo upuuzi wa kutumia mabilioni ya pesa bila kuwa na uhakika wa return wala sera Bora za kuvutia utalii wakati huo kuna wanafunzi hawana madawati na hospital hazina madawa .Royal tour ni AIBU kwa viongozi na taifa kiujumla.
Mkuu wachache sana tutakaokulewa
 
Back
Top Bottom