Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
M
Muhishimiwa,hakuna hallucinations! Your dearly uncle,was a conman!Ulimuamini alivyokuambia nchi yako ipo uchumi wa kati "chini" na ni "dona-,kantle"?What a shame!nimekwambia ukiamini kitu sio lazima kiwe cha kweli... endelea kujifurahisha nafsi yako kwa Hallucination...