kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya au ni nini hiki?