Nadhani hivyo pia sio kwa first year tu kuna hadi mwaka wa tatu ambao hawakua na allocation ya tuition fees ila sasa wana allocation fullππΎππΎWakuu,kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa,nimepita kwenye account ya dogo ya heslb nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya au ni nini hiki?
Yes waliongeza, mimi mtoto wa bro wangu wamemwongeza laki 9 kwrnye tuition fee.Wakuu,kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa,nimepita kwenye account ya dogo ya heslb nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya au ni nini hiki?
Poa mkuu,shukraniMkuu kyagata ni Kwamba Kuna fungu lilibaki kubwa so walipanga wawape Diploma za science na Engineer naona wameamua kutowapa na kutumia Hilo fungu kuwaongezea , Watu tuition fees , so huyo Mdogo ako , nadhani.... Kapewa Ada yote Mkuu hapo ni kushukuru Mungu maana Hana Deni .
Kwani hapo nimekujibu au....?Sijauliza hicho ulichonijibu..kama hujui kitu pita kushoto.
Sio vizuri kuandika wakati hujui chochote kuhusu Mambo ya chuo kikuu naomba usipende kuvamia hoja za watu .Na mwambie asome akizingua mwaka wa pili mambo yanageuka..
Wanapunguza tena kutokana na utopolo atakao ufanya
HAYA WEWE UNAEJUA....ππππSio vizuri kuandika wakati hujui chochote kuhusu Mambo ya chuo kikuu naomba usipende kuvamia hoja za watu .
Uyo ni dogo lako au ni wewe mwenyewe ππWakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya au ni nini hiki?View attachment 2506828
Pole Mkuu lakini tumia lugha nzuri katika kufikisha ujumbe wakoKwanza niseme kabisa hatutachoka kudai pesa yetu halali inayotokana na madai ya kurejeshewa kiasi kilichozidishwa kwenye makato wakati wa urejeshaji wa deni la mkopo pindi tukamilishapo urejeshaji deni lote.
Hawa wahuni wa Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu wamekuwa na kawaida ya kuendelea kuwakata wanufaika kupitia mishahara hata baada ya kukamilika kwa marejesho.
Ukikamilisha kujisajiri kwenye Akaunti yao ya Loan Refund wanakwambia subiri ndani ya siku 90 kumbe hiyo ni lugha tu ya kukuondoa ofisini kwao. Ukifuatilia baada ya siku 90 kupita wanaendelea kukuzungusha.
Ukifika pale ofisi zao za Dar au za kanda mnajikuta wenye tatizo hilo mko wengi sana. Ukiwapigia namba yao ya mawasiliano hata siku moja haipokelewi. Prof Mkenda jaribu kuwapigia uone. Hivi hata hili tumkumbuke jamani marehemu JPM?
weka ushahidi wapeleke mahakamaniKwanza niseme kabisa hatutachoka kudai pesa yetu halali inayotokana na madai ya kurejeshewa kiasi kilichozidishwa kwenye makato wakati wa urejeshaji wa deni la mkopo pindi tukamilishapo urejeshaji deni lote.
Hawa wahuni wa Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu wamekuwa na kawaida ya kuendelea kuwakata wanufaika kupitia mishahara hata baada ya kukamilika kwa marejesho.
Ukikamilisha kujisajiri kwenye Akaunti yao ya Loan Refund wanakwambia subiri ndani ya siku 90 kumbe hiyo ni lugha tu ya kukuondoa ofisini kwao. Ukifuatilia baada ya siku 90 kupita wanaendelea kukuzungusha.
Ukifika pale ofisi zao za Dar au za kanda mnajikuta wenye tatizo hilo mko wengi sana. Ukiwapigia namba yao ya mawasiliano hata siku moja haipokelewi. Prof Mkenda jaribu kuwapigia uone. Hivi hata hili tumkumbuke jamani marehemu JPM?
Hujapata Kabisa au %chache za Ada?kyagata huo mpunga ni bahati wengine hatujaongezewa kabisa an