Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani.
...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani.
...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani.
- wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah)
- wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na maduka kutafuta oda
- wameanza kuendesha bodaboda na kupakia mishikaki na hawavai helmet
- pia wanaendesha magari sidhani kama wana vibali vya kuendesha vyombo vya moto hapa nchini!!
- (wageni hawa wamekuja nchini kuharibu utaratibu wa wenyeji ama wana malengo gani wenzetu?)