Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

Mbona watanzania wapo pia huko china na India wanafanya kazi?
-mbona watanzania pia hawavai helmet?
kama hamtaki wenzenu waje Tanzania basi na watanzania wasiende nchi za wengine.

Ajabu watanzania wakienda kule wanauza bidhaa bei rahisi kuliko wanavyouza huku sasa wachina wanafanya vice versa tena zaidiiii patamu hapo.
 
Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani.
...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani.
  • wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah)
  • wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na maduka kutafuta oda
  • wameanza kuendesha bodaboda na kupakia mishikaki na hawavai helmet
  • pia wanaendesha magari sidhani kama wana vibali vya kuendesha vyombo vya moto hapa nchini!!
  • (wageni hawa wamekuja nchini kuharibu utaratibu wa wenyeji ama wana malengo gani wenzetu?)
Viongozi wetu wapo busy sana kiasi kwamba hawawaoni hawa mabwana mtaani humu??
Wewe ukienda nchi za watu kama china ,marekani ,canada unatawaliwa jinsi yakuishi . Kha hizi nchi mtu anaishi kwa raha zake hapangiwi eti
 
Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani.
...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani.
  • wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah)
  • wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na maduka kutafuta oda
  • wameanza kuendesha bodaboda na kupakia mishikaki na hawavai helmet
  • pia wanaendesha magari sidhani kama wana vibali vya kuendesha vyombo vya moto hapa nchini!!
  • (wageni hawa wamekuja nchini kuharibu utaratibu wa wenyeji ama wana malengo gani wenzetu?)
Viongozi wetu wapo busy sana kiasi kwamba hawawaoni hawa mabwana mtaani humu??
CCM ndo shina la haya yote
 
Shamba la grand ma😂🤣
 
Ndio ni wewe tuu
 
Mbona watanzania wapo pia huko china na India wanafanya kazi?
-mbona watanzania pia hawavai helmet?
kama hamtaki wenzenu waje Tanzania basi na watanzania wasiende nchi za wengine.
watanzania kutovaa helmet haimaanishi wageni waje nao wasivae helmet, huwezi enda nchi ya mwenzako ukawa unavunja sheria kama wazawa ...HAIWEZEKANI
 
Mkuu nchi yetu kwanza haipo makini pia dunia mfumo ni wa kibepari hivyo kama nchi ni dhaifu hakuna namna kila mtu ataingia na atafanya anachojisikia.
 
Back
Top Bottom