- Thread starter
- #41
WAHINDI naona wakienda kwao wakirudi wanakuja wengi zaidi, anakuja mmoja anafungua kaduka anarudi kwao alafu wanakuja wanne na wote wanakaa dukani hapo..unakuta nyumba waliyopanga ni ya bei kubwa sana unajiuliza kodi wanatoa wapi? au wana biashara zingine za siri hapa nchiniHuo ndio utandawazi hakuna cha ajabu hapo. Na wakishakuja wachache wakaona tulivyolala wanaita wenzao so tegemea wageni zaidi