Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

Mbona watanzania wapo pia huko china na India wanafanya kazi?
-mbona watanzania pia hawavai helmet?
kama hamtaki wenzenu waje Tanzania basi na watanzania wasiende nchi za wengine.

Ajabu watanzania wakienda kule wanauza bidhaa bei rahisi kuliko wanavyouza huku sasa wachina wanafanya vice versa tena zaidiiii patamu hapo.
 
Wewe ukienda nchi za watu kama china ,marekani ,canada unatawaliwa jinsi yakuishi . Kha hizi nchi mtu anaishi kwa raha zake hapangiwi eti
 
CCM ndo shina la haya yote
 
Shamba la grand ma😂🤣
 
Ndio ni wewe tuu
 
Mbona watanzania wapo pia huko china na India wanafanya kazi?
-mbona watanzania pia hawavai helmet?
kama hamtaki wenzenu waje Tanzania basi na watanzania wasiende nchi za wengine.
watanzania kutovaa helmet haimaanishi wageni waje nao wasivae helmet, huwezi enda nchi ya mwenzako ukawa unavunja sheria kama wazawa ...HAIWEZEKANI
 
Mkuu nchi yetu kwanza haipo makini pia dunia mfumo ni wa kibepari hivyo kama nchi ni dhaifu hakuna namna kila mtu ataingia na atafanya anachojisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…