WAHINDI naona wakienda kwao wakirudi wanakuja wengi zaidi, anakuja mmoja anafungua kaduka anarudi kwao alafu wanakuja wanne na wote wanakaa dukani hapo..unakuta nyumba waliyopanga ni ya bei kubwa sana unajiuliza kodi wanatoa wapi? au wana biashara zingine za siri hapa nchini
nami wamewahi nipitia nyumbani wakiwa na noah, wanauza ma etipot, friji, subwoffer za laki sita wanataka nilipe kianzio laki moja alafu zingine watakuja kuchukua kila mwezi laki moja moja...yule mzungu hajui hata kiswahili yeye ni english tu...yupo na m bongo anamuonesha njia...nikastaajabu sana hili