Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?
Kwa hiyo mitazamo katika hoja yako, inakuwa by nature umezaliwa nao?
I hope swali hili umeniuliza mimi! Si ndio?
Jibu:
Ndio!
In nature mwanadamu anazaliwa na akili! But hajui namna ya kuzitumia! Never think mwanadamu anazaliwa tahira!
Mtoto huzaliwa na ego/nafsi!
Maendeleo ya nafsi yake huathiriwa na mazingira!
Kunasomo linaitwa astrology! Ni elimu ya nyota!
Wamezigawa nyota kwa makundi 12 (Zodiac signs) mfano Aries, Gemini, Pisces, Cancer, Leo, Sagittarius, Libra etc!
Wamezigawa hizo kulingana na tarehe na mwezi wa kuzaliwa!
Ktk kila sign kuna tabia za wahusika!
Moja ya tabia hizo ni kama uwezo wa kujenga hoja kwa kundi fulani!
Therefore: Kujenga hoja ni nature ya mtu ingawa unaweza kujenga hoja kwa kujifunza, mfano Waandishi wa habari!
Fahamtum?
Ahsante sana kwa kuwa nilishindwa kuquote moja kwa moja, sasa umeniambia kitu kizuri sana na cha muhimu kwa hiyo kwa upande wa akili ya utendaji wa mtu na nyota inahusika hili sikujua lakini unajua nikitaka kukupinga facts zako wewe kwa akili yako ya kibinaadamu nikitaka kupinga facts zako unadhani nitatumia facts nilizonazo kichwani au zilizopo. Kikawaida mimi nawaza kukupinga kuhusu uzungumziaji wako wa elimu ya unajimu lakini upande wa pili nawaza facts nitakazo tumia ni zile zilizopo sitatoa facts zangu mimi binafsi, kwa kuwa nataka nikuunge mkono upande uliosema uwezo nazaliwa nao.
Good comment Masha....
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?
Hahahahaaa! Mkuu sio tatizo kupinga au kukubali hoja fulani kwa kutumia hoja za mtu mwengine!
Ila kutumia hoja za mtu mwengine na kushindwa kuzitetea hapo utakuwa umekariri!
Hao watu nnaokwambia wamezaliwa na kipaji cha kujenga hoja, anaweza kutumia hoja za mtu mwengine na akazitetea, na vile vile anaweza kutumia hoja zake na kuzitetea!
Ukumbuke! kila siku kunatokea issue mpya, siku hazifanani and life is dynamic!
Mtu akiweza kujenga hoja na kutetea anaweza kuwa mtu mzuri ktk jamii kwa kuchambua mambo mbali mbali. But vile vile anaweza kuwa mtu mbaya kwa kupotosha watu kwa kuwajengea hoja na kuwaaminisha uongo! Embu mkumbuke Kinyengetile Ngwali wa Maji Maji war! 1905!