Hivi hii hali mtu huzaliwa nayo au anaikuta?

Hivi hii hali mtu huzaliwa nayo au anaikuta?

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
321
Reaction score
81
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?
 
Kwa hakika hii hali mtu hujengewa na mazingira na shuleni, picha halisi unaweza kuipata kwa wasomi wa sasa wakati ambao kiwango cha elimu kimeshuka na kizazi cha wanazuoni wenye upeo wa kujenga hoja ndio kinaishia. Siku za nyuma tulikuwa tunafanya debates baina ya shule na shule, hii ilitujenga sana katika umri mdogo kusimama mbele ya wanafunzi wa shule mbili na kujenga hoja ilikuwa si mchezo. Sidhani kama bado vipo hivi vitu

Kwenye mazingira ni kwa kumzoesha mtoto kusoma vitabu na baadae mpe kazi ya kukuhadithia alichosoma na wewe muulize maswali kama mnafanya presentation vile, utamgundua mtoto wako anaweza kujenga hoja au ni wale wale kina sie.
 
Sawa kama unaukututa Duniani, kwa hiyo wale wenye hutoa erguments kwa mtazamo fulani huwa wanakuwa wameukuta huo mtazamo upo. Kwa mfano ili twende sawa mtu anasema mimi nasema Mungu hayupo, kwa hiyo argument juu ya kutokuwepo kwa Mungu na facts nitazitoa zile zilizopo si ndio? Kama ni ndio kwa hiyo hakuna facts mpya hata moja zote zipo na zilikuwepo? Hebu tuwekane sawa hapo wakuu
 
Kujenga hoja ni nature ya mtu ingawa unaweza kujenga hoja kwa kupitia elimu! Refers waandishi wa habari!

kuna watu ni wa kujenga hoja na kuuliza uliza kama walivyo watu wabishi!
Hakuna mtu kasomea ubishi!
 
Kwa hiyo mitazamo katika hoja yako, inakuwa by nature umezaliwa nao?
 
Hebu muulize Hamphrey Polepole coz huyu mtu ndo mambo yake haya.
 
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?

nadhani inasababishwa na vyote viwili(kuzaliwa nayo na mazingira vilevile), and I think its because Mwenyezi Mungu ametupa kitu kinaitwa Freewill, kwahiyo una uwezo wa ku-doubt hata uwepo Wake na ukatoa facts za kufa mtu.. ni mawazo yangu tu
 
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?

HAKUNA MAHUSIANO KUHUSU KUZALIWA NALO AU LAH... ILI U ARGUE NA KUTOA FACTS... NI LAZIMA UWE NA UELEWA WA KUTOSHA KUHUSU CHA KUKITOLEA FACTS... NAJUA WAJUA KUNA TOFAUTI YA WANAO ARGUE BILA FACTS NA WANAO ARGUE WITH FACTS... ISSUE NYINGINE NI KWAMBA... kama huna facts.. dont argue
 
Sasa unasema ukatoa facts za kufamtu hasa hizo facts zirakuwa unique ? Yaani umezitoa wewe mwenyewe pasi na visababishi uwezo(Capacity makeup).
 
Mm kujengahoja kwa kuongea AMA kujieleza siwez lakini kwakuandka Ni genius hata kiongoz wangu mmoja job kwasasa Ni mstaafu aliwahi kunipa big up az a good writer indeed.hapa naamanisha kujenga hoja c kwakuongea tu hasa kisiasa Kumbe hata kwakuandka.japo Ni vgumuuuuuu kujulikanika
 
Kwa hiyo mitazamo katika hoja yako, inakuwa by nature umezaliwa nao?

I hope swali hili umeniuliza mimi! Si ndio?

Jibu:
Ndio!

In nature mwanadamu anazaliwa na akili! But hajui namna ya kuzitumia! Never think mwanadamu anazaliwa tahira!

Mtoto huzaliwa na ego/nafsi!
Maendeleo ya nafsi yake huathiriwa na mazingira!

Kunasomo linaitwa astrology! Ni elimu ya nyota!
Wamezigawa nyota kwa makundi 12 (Zodiac signs) mfano Aries, Gemini, Pisces, Cancer, Leo, Sagittarius, Libra etc!

Wamezigawa hizo kulingana na tarehe na mwezi wa kuzaliwa!

Ktk kila sign kuna tabia za wahusika!
Moja ya tabia hizo ni kama uwezo wa kujenga hoja kwa kundi fulani!

Therefore: Kujenga hoja ni nature ya mtu ingawa unaweza kujenga hoja kwa kujifunza, mfano Waandishi wa habari!

Fahamtum?
 
Ahsante sana kwa kuwa nilishindwa kuquote moja kwa moja, sasa umeniambia kitu kizuri sana na cha muhimu kwa hiyo kwa upande wa akili ya utendaji wa mtu na nyota inahusika hili sikujua lakini unajua nikitaka kukupinga facts zako wewe kwa akili yako ya kibinaadamu nikitaka kupinga facts zako unadhani nitatumia facts nilizonazo kichwani au zilizopo. Kikawaida mimi nawaza kukupinga kuhusu uzungumziaji wako wa elimu ya unajimu lakini upande wa pili nawaza facts nitakazo tumia ni zile zilizopo sitatoa facts zangu mimi binafsi, kwa kuwa nataka nikuunge mkono upande uliosema uwezo nazaliwa nao.

Good comment Masha....
 
Hahahahaaa! Mkuu sio tatizo kupinga au kukubali hoja fulani kwa kutumia hoja za mtu mwengine!
Ila kutumia hoja za mtu mwengine na kushindwa kuzitetea hapo utakuwa umekariri!

Hao watu nnaokwambia wamezaliwa na kipaji cha kujenga hoja, anaweza kutumia hoja za mtu mwengine na akazitetea, na vile vile anaweza kutumia hoja zake na kuzitetea!

Ukumbuke! kila siku kunatokea issue mpya, siku hazifanani and life is dynamic!

Mtu akiweza kujenga hoja na kutetea anaweza kuwa mtu mzuri ktk jamii kwa kuchambua mambo mbali mbali. But vile vile anaweza kuwa mtu mbaya kwa kupotosha watu kwa kuwajengea hoja na kuwaaminisha uongo! Embu mkumbuke Kinyengetile Ngwali wa Maji Maji war! 1905!
 
Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka?

Nimepost but naona siioni huku subiri nitajarbu tena coz post inamajibu sahii kwa tropic yako..!!
 
Hahahahaaa! Mkuu sio tatizo kupinga au kukubali hoja fulani kwa kutumia hoja za mtu mwengine!
Ila kutumia hoja za mtu mwengine na kushindwa kuzitetea hapo utakuwa umekariri!

Hao watu nnaokwambia wamezaliwa na kipaji cha kujenga hoja, anaweza kutumia hoja za mtu mwengine na akazitetea, na vile vile anaweza kutumia hoja zake na kuzitetea!

Ukumbuke! kila siku kunatokea issue mpya, siku hazifanani and life is dynamic!

Mtu akiweza kujenga hoja na kutetea anaweza kuwa mtu mzuri ktk jamii kwa kuchambua mambo mbali mbali. But vile vile anaweza kuwa mtu mbaya kwa kupotosha watu kwa kuwajengea hoja na kuwaaminisha uongo! Embu mkumbuke Kinyengetile Ngwali wa Maji Maji war! 1905!

Masha...
Kwa hiyo mtu hutoa hoja kwa kuzingatia hali iliyopo, maana yake kuna hoja ya mwanzo ambayo inatolewa na mtu wa kwanza si ndio au ? Na kama ndiyo ile hoja ya kwanza huwa inasadifiwa vipi kuwa ni sahihi pasipo kuwa na hoja pinzani? Na kama zipo pinzani je ile inakuwaje bora kuliko nyingine, hapa kuna harufu ya demokrasia na siasa ndani yake si ndio, au matokeo ya hoja.
Hapa #Kiranga angepita, ungemwelewa kitu kimoja anacho alipata kueleza kuwa amezaliwa kwenye familia ya waamini wa Mungu na baadae amekuja kubadilika huyu unamuweka kwenye Dynamism Character? Et . . .
Wewe binafsi hivi una argument yoyote ile ambayo unajua uliiweza kutolea facts pasi kuwa na visababishi vya kukuwezesha zaidi ya lugha inayotamkwa na kuandikwa?
 
Back
Top Bottom