To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.
Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.
Ndo hivo.