Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ulivowashushua Hawa viumbe wamejisahau Plus ubinafsiHivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.
Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.
Ndo hivo.
Upo sahihi sanaYaan tumekaa kibinafsi sana
Mnasema one pack haina nguvu kama six pack.Usipeleke moto vizuri kwani nguvu zinakuwa zimeenda wapi
Kumbe kuna kuiva tena, ikiiva ndio viatu vikibanduka havishonekiUkondee Nini na ndoa haijaanza kuiva
Brother! nipe tu pole... Naweza kuandika makala kabisa ya gazeti iende mwananchi kwa observation nilizofanya katika hili!sis, umeongea kwa uchunguuu!
Hivi unadhani wenye ile kampeni ni waongo? 😂 wana point wasikilizwe!Wenye Ile kampeni Habari yoote wataona kipande hicho
Wanyaki ndio tabia yao 😂Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Haki sawa mnayotaka iko wapi🤣🤣🤣🤣Tulia wewe
Hivi haiwezekani kuwaachanisha?Brother! nipe tu pole... Naweza kuandika makala kabisa ya gazeti iende mwananchi kwa observation nilizofanya katika hili!
Unahangaika huku na kule, kumtafutia mtu kazi au kazi nzuri zaidi ya aliyonayo, unaongea na huyu na yule mpaka kuna muda you goes out of your way for the betterment of your brother, mambo yakitiki tu unamwambia i did this for good sitaki hata mia yako sababu atleast najimudu, na hata nikikwama nina wakunikwamua..... So, go do better for your family na uwe mwanaume kweli kweli!
Siku zinapita unasikia kuwa mifereji yote ya pesa imeshikiliwa na mzee mama! 😂😂 Mapenzi ni mapenzi, huwezi jua wakiwa uchi kitandani wanaambizana nini, naelewa kabisa, ila je haitoshi mwanaume kukupenda, kukuhudumia, kuhudumia familia yake hadi wewe ucontrol pesa zake? na yeye uwe unampa pesa ya matumizi tu au nauli na mafuta ya gari tu!!? 🤣 Sijui hata wanaambizanaga nini masikini!
Basi bwana unaacha mambo ya watu! Ila ndio hivyo sikomi nikiona mchongo mzuri mtu wa kwanza kumuwazia ni ndugu yangu! 😅
Halafu wengi wao ni guilty, wanapita humu kimya kimyaBora ulivowashushua Hawa viumbe wamejisahau Plus ubinafsi
Hao kaka zako wameshikika kweli kweli, kuna ile kauli mnasemaga kwako hafurukuti umemuweka kiganjani. Ndio type za mawifi zako hizo. Mungu aniepushie mbali aina hiyo ya wanawake maana nitakufa kabla ya siku zangu.Brother! nipe tu pole... Naweza kuandika makala kabisa ya gazeti iende mwananchi kwa observation nilizofanya katika hili!
Unahangaika huku na kule, kumtafutia mtu kazi au kazi nzuri zaidi ya aliyonayo, unaongea na huyu na yule mpaka kuna muda you goes out of your way for the betterment of your brother, mambo yakitiki tu unamwambia i did this for good sitaki hata mia yako sababu atleast najimudu, na hata nikikwama nina wakunikwamua..... So, go do better for your family na uwe mwanaume kweli kweli!
Siku zinapita unasikia kuwa mifereji yote ya pesa imepeshikiliwa na mzee mama! 😂😂 Mapenzi ni mapenzi, huwezi jua wakiwa uchi kitandani wanaambizana nini, naelewa kabisa, ila je haitoshi mwanaume kukupenda, kukuhudumia, kuhudumia familia yake hadi wewe ucontrol pesa zake? na yeye uwe unampa pesa ya matumizi tu au nauli na mafuta ya gari tu!!? 🤣 Sijui hata wanaambizanaga nini masikini!
Basi bwana unaacha mambo ya watu! Ila ndio hivyo sikomi nikiona mchongo mzuri mtu wa kwanza kumuwazia ni ndugu yangu! 😅
Dada utapata dhambi na utaitwa wifi kigego, acha wapambane wakichoka tupo tumekaa pale! 😅Hivi haiwezekani kuwaachanisha?
🤣🤣🤣 daaah! Pamoja na kuunga mkono kote kampeni ya kataa ndoa 😅Yaan wewe,nahisigi ushaoa tayari....sijui kwanini
Hahaha..Siku zinapita unasikia kuwa mifereji yote ya pesa imeshikiliwa na mzee mama! 😂😂 Mapenzi ni mapenzi, huwezi jua wakiwa uchi kitandani wanaambizana nini, naelewa kabisa, ila je haitoshi mwanaume kukupenda, kukuhudumia, kuhudumia familia yake hadi wewe ucontrol pesa zake? na yeye uwe unampa pesa ya matumizi tu au nauli na mafuta ya gari tu!!? 🤣 Sijui hata wanaambizanaga nini masikini
endelea kuwa na moyo huo, ila hao mawifi zako huenda hawana kazi/b'shara.Brother! nipe tu pole... Naweza kuandika makala kabisa ya gazeti iende mwananchi kwa observation nilizofanya katika hili!