Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kweli aisee wapo wanawake wanaopenda waume zao wapendezeKutovaa vizuri kwa mume ni udhafu wa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee wapo wanawake wanaopenda waume zao wapendezeKutovaa vizuri kwa mume ni udhafu wa mke
Kuna vitu sababu mi sijafanya inaniwia vigumu sana kuvisemea, Mi nachojua kuna watu wanapenda na akipenda anakuwa selfless sasa wenzi wao wanaitumia hii kwa faida yao. Kuna vitu mwanamume akikufanyia au kukukubalia inakuwa ni namna ya kusema nakupenda na nakuthamini, sababu anaweza asifanye na wala hawezi shitakiwa na Jamhuri!Hahaha..
Bi dada anakaba kooote!
Si wanasemaga kuna kitu wanaita Limbuata?!
Saizi! Soma tena.."Oeni zaidi yenu"unamaanisha nini
Aisee noma sana, Kama ni makubaliano yao ni sawa, ila kama ni vinginevyo basi ni msiba mzito sana 😂Kuna nguvu ipo inayofanya hayo yote yawezekane nadhani ni miongoni mwa limbwata. Huwa nasema nirogwe kwenye mengineyo ila sio mapenzi maana huwa unafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno. Kuna ndugu yangu ni mkorofi sana ila kwa mkewe hana kauli atapika, atafua, kazi zote yeye na kugombezwa juu. Mshahara karibia wote anaacha kwa mke, ndugu washamshauri wakachoka lile ni limbwata grade A kabisa.
Nakaribia kunenepa hapa, miaka 3 ndani ya ndoa[emoji3][emoji3]Ndo hicho nilikuwa nasema,Yaan wanaume wachache sana kumkuta wamenenepa ndani ya ndoa[emoji23][emoji2960]
Yaani anasema usimnunulie nguo yeye hadi ununue wewe kwanzaKweli aisee wapo wanawake wanaopenda waume zao wapendeze
Ni majuzi tu hapa ndo nimegundua nina suruali tatu na shati mbili na tisheti tatu mwaka wa tatu huu.Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.
Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.
Ndo hivo.
Na kama haujapendeza anakwambiaYaani anasema usimnunulie nguo yeye hadi ununue wewe kwanza
Kipindi kingine ambacho wanaume tunajinyima na tunajisahau ni wakati wa ujenzi wa mjengoNi majuzi tu hapa ndo nimegundua nina suruali tatu na shati mbili na tisheti tatu mwaka wa tatu huu.
Dah
Labda tukishaoa tunasahau kuwa na sisi tunapaswa kuishi. Lakini kusaka hela ya kulipia tozo kisha familia ifuate ni mziki unaotafuna akili
Hakuna makubaliano hapo, hiyo ni utaki utafanya unataka utafanya. Alafu alizaa na dada mmoja mstaarabu akamuacha kisa hana elimu akakimbilia kuoa degree holder kweli karma ipo na inafanya kazi.Aisee noma sana, Kama ni makubaliano yao ni sawa, ila kama ni vinginevyo basi ni msiba mzito sana 😂
Na hayo ni makubaliano gani ya kijinga hivyo!
Ni huyo wa kwako tu ndo habadilishi.Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.
Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.
Ndo hivo.
Unacheeeeka eeeh?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pole mkuu🤣🤣😜Ni majuzi tu hapa ndo nimegundua nina suruali tatu na shati mbili na tisheti tatu mwaka wa tatu huu.
Dah
Labda tukishaoa tunasahau kuwa na sisi tunapaswa kuishi. Lakini kusaka hela ya kulipia tozo kisha familia ifuate ni mziki unaotafuna akili
.......hasa ukishusha mzigo wa bati afu kesho yake unakuta vipande vya kutosha chini, halafu fundi anakwambia zinahitajika zingine 20.....Kipindi kingine ambacho wanaume tunajinyima na tunajisahau ni wakati wa ujenzi wa mjengo
Sio poa unaweza kupanda juu ya paa uhakiki na fundi bati zilizotumika kama ni sawa. Huku dogo anadaiwa ada. Wanaume tumeumbwa mateso aisee.......hasa ukishusha mzigo wa bati afu kesho yake unakuta vipande vya kutosha chini, halafu fundi anakwambia zinahitajika zingine 20.....
Ujengewe sanamu pale makutano ya fire na kkooDada, Watasema naongea nionekane....lakini kiukweli mwanamke akiolewa tu anakuwa adui Kwa mume we na familia yake....kujitawala as if yeye ndo kaoa mwanaume.Wanaume hawasemi tu lakini wananyanyasika sana
Aaah kumbe upo nao.Hivi unadhani wenye ile kampeni ni waongo? 😂 wana point wasikilizwe!