Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
.......mwanangu kama bibie kakupa fursa ya kunenepa we nenepa.......mwanamke akikupenda kweli mwanaume lazima utakuwa na muonekano wa kupendeza kiafya, kimwili hata kiakili utaona uko well settled......sisi wanaume ni dhaifu sana Kwa hawa akina mama, tupo tayari kujinyima Ili kuwafurahisha........so ili usiumie lazima upate bibie mwenye hekima na upendo wa kweli, kitu ambacho wengi wetu huwa tunaangukia pua na kuanza kufubaa na kunyauka ndani ya ndoa......Nakaribia kunenepa hapa, miaka 3 ndani ya ndoa[emoji3][emoji3]