Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Shida mwanaume ukijaribu tu hata kununua shati Moja Basi mkeo atataka umshonee/ umnunulie nguo 3 kwa wakati mmoja.

Sasa hebu fanya mahesabu Kama mwanaume atanunua suruali 3,shati 4 na Viatu pair 2....
Ndivyo ulivyomdekeza
 
Ilinitokea hii............................................
Yaani nataka tutoke out, hapo jinzi zote zimepauka halafu eti kananichagulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yeye kapendeza nikasema siwezi kuonekana kama mchimbaji wa migodi ya dhahabu chunya.

Hivyo nikawapigia boda boda wa pale City lounge ninaye mjua alete chakula Nyumbani.

Kaka nuna eti sitaki kumtoa out halafu kesho yake kanaomba jiwe mbili kakafanye shopping ya nguo yeye na mtoto wetu.
 
Yaan tumekaa kibinafsi sana
 
Back
Top Bottom