Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Ndo umenistua kesho mungu akipenda kariakoo na sinza zitanijua, full shopping ya kujipendelea halafu nikirudi natulia tuliii!! Nione reaction, akinisemesha tu namuonesha huu uzi na kufungua kabati lake at once .
Yani shopping ya kesho ni full mimi.
😂😂😂😂Tulia tulia tafadhali..... tatizo tuna tamaa mkuu
 
Na akuepushe kweli kweli, mmoja ni wadamu wengine ni kaka zangu wa kidunia. (hawa wakidunia sijawahi wasaidia kitu kikubwa, maana wako vizuri tayari hivyo sina hata mandate ya kuwasimanga)

Things wako nacho in common wote ni vipanga kweli kweli sasa sijui whats wrong with these people! Huyo mwingine anaambiwaga usiwasaidie kwenu ni wachawi watakuloga 😅 wakati mke kwao anapeleka kila msaada! What a manipulator! 😂😂😂😂

Hawa kaka zangu wa kidunia siwezi hata kuwashauri maana ni wakubwa sana kwangu, mmoja juzi akanifungukia kila kitu, nilimjibu kuwa Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu! 😂😂

Huyu niliyezaliwa nae huwa namchana tu simuogopi wala nini!
Shangazi yangu alishamuachanisha mwanae na mke kupe. Yaani binamu yangu mpaka sasa anamshukuru mama yake.
 
Ukisubiria ukulbukwe na ke utachina. Jipende mwenyewe kwanza. Wanaume wengi smart hata siku moja hawategemei wanawake , akiona kitu anakipenda anazama mfukoni ananunua. Wewe subiria mama yeyo, utaishia kuvaa mashati ya vitenge.
Mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa unafanya automatically wanaume tubebe majukumu mazito ya maendeleo na ustawi wa jamii, chunguza nyumba nyingi wanufaika ni ndugu na upande wa mke.
Tunaamini kwa kuwa efforts za baba hazifichiki basi mke anaweza ku take control kwa yale ambayo baba hayawezi kirahisi, kumbe wenzetu ni selfish balaa.
 
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.

Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.

Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.

Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.

Ndo hivo.
Nilitaka ni post nilivyo tupilia Leo wife Huwa ni designer...🤓🤓😊😊
Na miwani yangu ya ki DR. nimekaa pale...
 
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.

Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.

Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.

Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.

Ndo hivo.
😅😅😅 Dah aseeeh Kuna kipindi nilijisahau mpaka niliposhtuka nikawa najionea huruma.
 
Back
Top Bottom