Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Wewe ni mwanamke mwema!Kuna vitu sababu mi sijafanya inaniwia vigumu sana kuvisemea, Mi nachojua kuna watu wanapenda na akipenda anakuwa selfless sasa wenzi wao wanaitumia hii kwa faida yao. Kuna vitu mwanamume akikufanyia au kukukubalia inakuwa ni namna ya kusema nakupenda na nakuthamini, sababu anaweza asifanye na wala hawezi shitakiwa na Jamhuri!
Look, when i was a young girl nilidate huyo kaka alikua ananielewa sana, tulikuwa tunakaa mikoa tofauti, so nikimtembelea nakaa muda, ikifika muda wa kuondoka, labda mi naondoka na gari ya saa 4 ila yeye asubuhi saa moja anatakiwa aondoke aende job, na hawezi kurudi kunisindikiza, unajua mambo ya Dar tena, chakufanya kama anacash ananiachia kama hana ananiachia kadi yake ambayo alikuwa anaweka akiba zake humo, anakwambia utalipa nauli, utanunua vya kununua, utachukua poketi money halafu kadi utaenda nayo ntaichukua next time (coz haihitaji kukaa nayo muda wote)
Hakuna kitendo nilikuwa sipendi kama hicho, sababu kwa uoga wangu itanifanya nijilimit sana katika kutoa pesa, na pengine nisitumie kama ambavyo ningepewa naye ningetumia kwa raha na uhuru, halafu nilikua naona tu nimtego kwani si angenitumia inamaana yeye anakosa muda wa kwenda ATM akiwa on his way to job, enzi hizo mambo ya simu banking yalikuwa sio uhakika sana unaweza tumiwa hela sa hivi ikafika kesho, understandably! Nikionana nae tu ilikuwa lazima nimrudishie kadi yake hata kama hajaiomba, na wala haiombi na atakuuliza kwanini unairudisha, Ilikuwa nikiwa na kadi yake nikipata shida nikatoa pesa napiga simu kujieleza kama mshitakiwa 😂 I guess somethings goes with malezi na hulka.
Kama usemayo ni kweli mumeo anafaidi