Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Nilitaka ni post nilivyo tupilia Leo wife Huwa ni designer...πŸ€“πŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜Š
Na miwani yangu ya ki DR. nimekaa pale...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ€ΈπŸ€Έ
 
Ukisubiria ukulbukwe na ke utachina. Jipende mwenyewe kwanza. Wanaume wengi smart hata siku moja hawategemei wanawake , akiona kitu anakipenda anazama mfukoni ananunua. Wewe subiria mama yeyo, utaishia kuvaa mashati ya vitenge.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na watachina 😜
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Sasa hivi najipenda sana , viatu kama vyote siwezi maliza miezi mitatu sijanunua viatu na nguo.
Mwezi huu tu nimenunua viatu pair mbili na vingine pair 2 nimeagiza from UK nategemea kuvipokea after 2 weeks
😳 From UK? 😳😳😳😷
 
Ila wengine tunawajali wapenzi wetu, sitaki mpenzi wangu awe na harufu ya kibeberu. Jana tu nimemnunulia Perfume kali pale Amsterdam , kitu cha Jean Paul Gaulitier
 
Back
Top Bottom