Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

[emoji3][emoji3][emoji3] kuna lile gari nimezoea kuliona barabara ya Gomz- ukipishana na hili gari utazimia kabisa.
Karibu sana, baada ya wiki utaona pako sawa.
.
🀣🀣🀣🀣

Unamaanisha nitakuwa sehemu ya hiyo harufu??
 
Hamia mkoani mkuu utuachie dar yetu
 
Ungekuja dar wakati wa jk ikiwa na majalala kila pahala hata pale fire njia panda ya muhimbili ilikuwepo jalala, hapo ungesema je?

Pua zako ziko over smell hata mkeo awe msafi sana unless yatamkuta ya yule alisemekana anapika hovyo hovyo.
 
Mleta mada wewe ni Kiduko Lilo au mkewe?
Naona uandishi wenu unafanana kwa 98%!!
 
Ungekuja dar wakati wa jk ikiwa na majalala kila pahala hata pale fire njia panda ya muhimbili ilikuwepo jalala, hapo ungesema je?

Pua zako ziko over smell hata mkeo awe msafi sana unless yatamkuta ya yule alisemekana anapika hovyo hovyo.


🀣🀣🀣

Mimi napenda Usafi kuliko Kula.

Mke wangu naenda kuchumbia Comoro, Karibu kwenye msafara.

Tukitoka Comoro tutapandisha mpaka Madagascar tutakaa siku tano, kisha mwezi wa kumi tutakuwa Kwa Madiba, hapo utarudi DAR yenu inayonuka Mimi nikielekea Dunia ilipo
 
WALIA NA MUNGU [emoji1][emoji1]
 
Sisi watu wa Dar tunapenda harufu ya Mavi Mavi hivi, Sasa we Heriel na wenzio mna option mbili maana Dar ni Jiji la wewe Kuchagua,either urudi huko masulumbwikunyisho au ubaki Dar..nakuhakikishia ukibaki Dar na ww utaipenda tu...Dar Hatupangiwagi...Hasa na nyie wa Mkoa...Kamuulize Mzee wa Kolomije πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…