Kwanza 100% huijui Dar na viunga vyake,inaelekea unawadanganya sana wananzengo huko Ilyamchele,maeneo unayosema yananuka ni Uswahilini,Dampo,Mabwawa ya Maji Taka na Soko la Ferry(sababu ya shombo ya samaki)
Kwingineko ni harufu za marashi na misosi adimu ndio hutamalaki mtaani,
Sijawahi ishi uswahili tangu nazaliwa, huko naendaga kufanya utalii kuona masikini wanavyoishi Kwa dhiki na taabu.
Ninachojua DAR 80% ni uswahilini.
5% ni Kwa kishua
5% Maofisi makubwa na apartment hasa magorofa yaliyopo Posta, mnazi mmoja, Kariakoo, Upanga n.k
10% wanakaa Madongo kuinama huko, ndio Bunju, mbweni, Mabwepande, Kibamba, Mbezi, Majohe, Chanika, Mwembe mtengu, Kongowe, twangoma, Mbande, Kijichi n.k
Hiyo DAR nisiyoijua ni ipi?
Maana Sisi ni Wale tunaokaa Mikocheni, Osterbay, Masaki, Msasani, Mbezi beach ndio ndugu zetu, Achana na wahindi wa Kariakoo, upanga, Namanga, Muhimbili n.k.
Au unadhani nimefikia Kwa wasakatonge??
🤣🤣🤣