Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Katafute mume ili aishi maisha ya ndoto zake.
Au anaogopa kufukunyuliwa??!?
Wewe muhaya bana hata kama umekataa [emoji3][emoji3][emoji3]..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamaanisha nitakuwa sehemu ya hiyo harufu??
Wewe muhaya bana hata kama umekataa [emoji3][emoji3][emoji3].
UTAKE USITAKE [emoji1787]
Nazoom location yako ni Dar es salaam ,utakuwa na wewe unanuka tena mnuko wa Kwa mpalange[emoji23][emoji23]View attachment 1932958
Baada ya kutambua hilo,umetema mate Mara ngapi??
Jitahidi kula limau ili usitapike
Kwakweli hizi chemba na matanki ya vyoo waangalie namna ya kutengeneza vizuri maana yanatoa harufu kweli
Na wengine wametengenezewa na kina fundi maiko mtihan
Umefikia tandale kwa tumbo afu unahisi Dar yote ipo hapo,Pole sana,watu wa mikoani mnaumia sana na Dar,wewe msalimie shemej hapo,kaa hata wiki mbili utoe tongotongo mjini then rudi kwenu Ilyamchele kupiga jembe[emoji1787]
Kwanza 100% huijui Dar na viunga vyake,inaelekea unawadanganya sana wananzengo huko Ilyamchele,maeneo unayosema yananuka ni Uswahilini,Dampo,Mabwawa ya Maji Taka na Soko la Ferry(sababu ya shombo ya samaki)Sawa Bhana mtu wa DAR. Wewe si ndiye Shemeji YANGU wa Tandale.
Jaribuni kuwa wasafi hata kidogo.
Vijana wadogo mmeathirika kisaikolojia kisa harufu za Chemba za maji taka.
Pumbavu
Miaka ya zamani ulikua ukiambiwa upeleke choo hosp. Kikapimwe ulikua unakipeleka kwny Nini mkuu?Mkuu embu fafanua hiyo Teknolojia ya Nyaa ikoje
Ni jana tu hii harufu imenitesa sana hili eneo la mwenge pananuka sana!Ni kweli Dar ilikuwa hainuki hivi miaka michache iliyopita, nadhani baada ya ujenzi wa miundombinu, kuna vitu havijakaa sawa. Barabara ya kutoka Makumbusho hadi Mwenge hiyo harufu inasikika dhahiri, nahisi ni ule mtaro uliojengwa pembeni ya barabara hiyo
Kwanza 100% huijui Dar na viunga vyake,inaelekea unawadanganya sana wananzengo huko Ilyamchele,maeneo unayosema yananuka ni Uswahilini,Dampo,Mabwawa ya Maji Taka na Soko la Ferry(sababu ya shombo ya samaki)
Kwingineko ni harufu za marashi na misosi adimu ndio hutamalaki mtaani,
Miaka ya zamani ulikua ukiambiwa upeleke choo hosp. Kikapimwe ulikua unakipeleka kwny Nini mkuu?