Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kati ya hela na kubembelezwa unachagua lipi? Anayejua kubembela au anayetoa mpunga?Hela mlishakataa kutoa
Haya nakubembeleza napo mnaanza kuionea kijicho?
Kati ya hela na kubembelezwa unachagua lipi? Anayejua kubembela au anayetoa mpunga?
Acha povu!mkuu punguza umbea pia punguza kufwatilia maisha ya watu fata kilichokupeleka kama ni bia kunywa bia zako mpaka ujikojolee kama ni soda kunywa mpaka ukojoe asali hamna mtu ata kuuliza.
what if amefiwa jamaa anajaribu kumfariji, what if amegundulika anahoma ya ini jamaa anamfariji....narudia ACHA UMBEA, ACHA KUFWATILIA YASIYO KUHUSU
Uzi ufungwe hii inatoshamkuu punguza umbea pia punguza kufwatilia maisha ya watu fata kilichokupeleka kama ni bia kunywa bia zako mpaka ujikojolee kama ni soda kunywa mpaka ukojoe asali hamna mtu ata kuuliza.
what if amefiwa jamaa anajaribu kumfariji, what if amegundulika anahoma ya ini jamaa anamfariji....narudia ACHA UMBEA, ACHA KUFWATILIA YASIYO KUHUSU