Jaribu kufanya biashara utakuja kufuta hayo manenoImani za kijinga jinga kama hizo ni ugonjwa wa akili.
Jaribu kufanya biashara utakuja kufuta hayo maneno
Oooh sawaNifanye mara ngapi?
Nasikia kumbe hata wahindi wana hii imani ukienda kukopa asubuhi anakufukuza tena kwa hasira.Hii si kanuni bali ni imani na imani siyo lazima iwe sahihi, ni sahihi kwa yule anayeamini tu ndio maana kwa mfano asiyeamini uchawi hauwezi kumdhuru. Biashara ni sayansi mimi sioni uhusiano wowote wa kufeli au kufanikiwa biashara na imani za namna hii, ni kupoteza muda tu kuanza kuzifikiria. Wenye biashara wapo wanaoamini hizi imani na hata wateja pia wapo wanaoamini.