Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?
Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa?
Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo tayari ni kufinalize tu?