Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tatizo wanasiasa wanataka katiba mpya kwa maslahi yao binafsi. Hiyo hoja kwamba mkiwa hamna imani na Rais/mbunge mnamtoa madarakani ingeleta shida mno. Watu wangeleteana fitna za hatari na nchi isingetawalika. Shukrani kwa CCM kuitupilia mbali rasimu ya Warioba.Hivi kwa nini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?
Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa?
Kwa nini watawala wa CcM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo tayari ni kufinalize tu?
Ishu sio muda kaka, ishu ni katiba yenyewe.Kwani hiyo 1977 ni zamani sana ??
Kuna nchi wana katiba za mwaka 1870 huko na ina maendeleo na demkrasia kubwa kuliko sisi.
Kama unadhani mwaka ni tatizo inapokuja ishu ya katiba.
Umeuliza vizuri Sana ...... Ila ili uyaelewe mengi yanayohusu katiba na dhana ya uwepo wa katiba , pamoja na nguvu iliopo katika katiba kwa upana wake inakubidi uisome na utafute kuijua kwanza KATIBA YENYEWE itakusaidia kuelewa kwa Nini swala hili linahitaji utulivu na umakini mkubwa kulifanyia kaziHivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?
Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa?
Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo tayari ni kufinalize tu?
Upo sahihi kabisaa... ila hio ya 1870s waliiandaa raia... hii ya 1977 haikupitishwa na sisiKwani hiyo 1977 ni zamani sana ??
Kuna nchi wana katiba za mwaka 1870 huko na ina maendeleo na demkrasia kubwa kuliko sisi.
Kama unadhani mwaka ni tatizo inapokuja ishu ya katiba.
Hawataki Katiba Mpya kwani Katiba iliyopo inawabeba waoHivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?
Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa?
Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo tayari ni kufinalize tu?
tena watuulize tunataka rasimu ya warioba au ile ya ccm? Nakama sisi watanzania wa kwenye mitandao ndotunataka katiba mpya wasitubeze idadi yetu inaweza kuwa mara2 ya idadi yakura alizopata ccm kuunda serikali, tupaze sauti mpaka watupe katiba ya watanzaniaHivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?