Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Hapana Mkuu ata sijahi kuwaza kujaribuUsiandikie mate na wino ungalipo,hapo kwenye uraibu,ulishawahi kubet?
Huwa nabaki nashangaa kwa mfano wale watu wanaomuamini zumaridiN umaskini tuu.
Umaskini wa Kipesa na akili.
Sasa kama unamtu wa kumsujudia then anakutoa kwenye huo umaskini wako Kwann usijifanye mpumbavu ili uneemeke.
Mm nawaunga mkono, hawana namna π
Hakuna kitu kinachoitwa Mungu ndiyo maana nashindwa kumwamini.Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au Maandiko yake matakatifu lakini mtu huyo huyo anajenga Iman yake juu ya binadamu mwenzake ?π€
Binafsi, mtu akiwa mfia jambo fulani hua namuona hana akili timamuHuwa nabaki nashangaa kwa mfano wale watu wanaomuamini zumaridi
Wale wanaomuamini secretarybird unawaambia nini? π.Huwa nabaki nashangaa kwa mfano wale watu wanaomuamini zumaridi
Ni sawa ulisemalo unaweza husimuamini Mungu yule wa Isaka na Jacob lakini ukawa na mungu wako labda aitwaye mwamarundi, kazobha kanyamuhanga,kipembe nk lkn je vipi kuhusu kuwekeza Iman yako kwa mtu anayeonekana kiasi kwamba hasipotamka jambo juu yako ww huwez kuamua chochote juu ya maisha yako?Hakuna kitu kinachoitwa Mungu ndiyo maana nashindwa kumwamini.
Si lazima mtu asipomwamini mungu (ambaye hayupo) anamwamini mtu kama unavyodai.
Mimi nilishajaribu aisee ina uraibu mbaya Sana,Yaani hulali usiku kwa Amani kama mechi zako hazijachezwa,unaweza kuamka usiku WA manane ukaanza kusuka mkekaπππππHapana Mkuu ata sijahi kuwaza kujaribu
Nimemuona leo anakatika tiktokπ«Huwa nabaki nashangaa kwa mfano wale watu wanaomuamini zumaridi
Sasa hapo ni jinsi mtu alivyotune akili yake mkuu.Ni sawa ulisemalo unaweza husimuamini Mungu yule wa Isaka na Jacob lakini ukawa na mungu wako labda aitwaye mwamarundi, kazobha kanyamuhanga,kipembe nk lkn je vipi kuhusu kuwekeza Iman yako kwa mtu anayeonekana kiasi kwamba hasipotamka jambo juu yako ww huwez kuamua chochote juu ya maisha yako?
Sasa huo si ndo uzwazwa wenyeweSasa hapo ni jinsi mtu alivyotune akili yake mkuu.
Kumbuka kuwa mtu asiyependa kufikiria kivyake huamini chochote aambiwacho na yule (mtu) amwaminiye.
Ndiyo maana kwenye matangazo ya kibiashara watu maarafu mathalani wasanii, wachezaji n.k hutumiwa kunadi bidhaa Ili watu wanaowashabikia hao watu maarufu wanunue bidhaa hizo.
Binadamu wengi hawatumii akili zao ndo maana ni rahisi kutekwa na wale wajanja wachache e wanaotumia akili zao vizuri.
Zumaridi na Mwamposa endeleeni kuwanyoosha wabongo π₯.
Unaweza pia na ww kutuongezea nyingne ili tuendelee kushangaa hii mifumo ya maishaMuhudumu lete bapa ya 3 hii imeisha, huyu nae anakuja na ngumu kumeza nyingine za maisha.
Watu wengi duniani wako hivyo, na Dunia inazidi kusonga mbele bila wasi.Sasa huo si ndo uzwazwa wenyewe
Sometimes ni kufunika tu kombe mwanaharamu apite.Watu wengi duniani wako hivyo, na Dunia inazidi kusonga mbele bila wasi.