Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

Utawala wa Donald Trump umenifundisha mambo mengi. Moja ya mambo niliyojifunza ni kiini cha uchawa.

Nimejifunza kwamba chawa yeyote ni mtumwa wa maslahi yake binafsi. Kwa chawa, maslahi binafsi ndiyo everything. Haijalishi ana elimu au mali kiasi gani.

Kwenye utawala wa Trump nimeona machawa from all walks of life. Trump ana machawa ambao ni billionaires, akiwemo Elon Musk, the richest man on earth. Pia ana machawa wengi ambao ni wasomi.

Kwahiyo, common denominator ya machawa wote ni utumwa wa maslahi binafsi.
 

Hata Yesu Kristo alipendezwa na Lazaro na baadhi ya tenashara...

Hata Mungu alipendezwa na baadhi ya manabii zake...

Huu ni upendo wa kuhusudu...

Kitu cha muhimu inashauriwa kufanya mambo kwa kiasi katika yote tunafanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…