Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

Nchi ni ya ccm tu na washirika wake
 
Zamani tuliimba sana sifa za ccm kama chama cha wakulima na wafanyakazi!
siku hizi ccm kimekuwa ni chama cha matajiri wezi, mafisadi na wabadhirifu wa raslimali za Taifa.
Bila kupigania uhuru na raslimali zetu kwa kuiondoa ccm madarakani basi tumekwisha wa Tanzania.
 
Umesema kweli kabisaa
Ikiwa haki ya uhuru wa kuchagua inalindwa basi CCM haijawahi kuwa chaguo la Watanzania since 1995
 
Sifa ulizoorodhesha kamwe haziendani na umri wa hili taifa ukilinganisha na utulivu uliopo, mazingira yaliyopo na rasilimali zilizopo.Tunaweza kusema ni sifa za kijinga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hamia Rwanda kule Kila mtu anatema nyongo free
Mfalme Ufaransa alipoambiwa watu wanaandamana wana njaa, akawaambia watu wake waambieni wale MIKATE. Majibu yale ya hovyo yaliweka historia ya mageuzi makubwa ndani ya Ufaransa na Ulaya.

Mkuu, jibu ni jibu tu, lakini mantiki ya jibu ndiyo uhalisia wa kesho ya jibu hilo.

Ulevi wa damu za Watanzania umewapiga upofu watawala ndo maana hata wafuasi wao mitandaoni wanatoa majibu yenye hadhi sawa na kejeli za wakubwa.

HATUSHANGAI
 
Acha porojo za zama za giza
 
Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…