Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

Tatizo la mtoa mada umeweka matumaini kwnye demokrasia..Democracy is a failing concept. In actuality it is mob rule... Hebu angalia Brazil Leo hii mkomunisti and criminal Lula "anashinda" uchaguzi kwa asilimia 50.2% just because majimbo kadhaa Huko watu wanampenda.And he is going to impose his will on 49.8% of the rest of the population..does that seem fair..hatA hiyo katiba nakuhakikishia ikipigwa referendum Leo utashangaa watu wanakataa vipengele ambavyo vinawaongezea Uhuru binafsi...

I have some advice for you..be Ultra-individualistic,remove all emotional attachment from the collectivistic issues,and you shall traverse this world peacefully to your end... Other than that your world experience will feel like dystopia every day
 
Back
Top Bottom