Hivi hii ni hali ya kawaida au nina tatizo?

kama huna kazi inayokuweka busy lazima hali hii iendelee...tafuta kazi au jambo linalo kuweka busy
 
Kama uko kati ya 20-30 ni kipindi kitapita kuna michakato inayoendelea mwilini mwako na mwili hautaki disturbance ya aina yoyote
Usijaribu kuzuia hiyo hali iache itapita yenyewe
asante kwa ushauri wako mkuu.
 
matokeo yako ya form six umepata division ngapi?
 
 
[QUOTE="Johede, post: 16933201,
Kuna kitu kinakusumbua ila bado hujakijua jaribu kukaa na kutafakari then utajua
 
unafanya sana kazi, unakuwa busy mno, jifunze kupumzika...weekend nenda mahali tulivu sana peke ako, kaa fikiria, nenda kwenye hotel yenye mazingira tulivu..cha msingi pata utulivu wa nafsi...ukiendelea ivo baadae yataanza kuja mawazo ya kujiua..get a peace of mind
 
Mkuu umeajiriwa au unakaz? Au umejiajiri mwenyewe?...mtu ukiwa msomi ukikosa shuhusi ya kukupatia kipato....lazima yatakutokea hayo....
Mapenz nayo huchangia.....
 
Tafuta mwanaume uwe unampa mzigo
 
Una tatizo tena limekuanza jana madhara unayaona leo..tena shukuru kulijua tatzo mapema maana ungefika kipindi ungefikiri ata kuua... Njia bora ni kujilazimisha uwe na furaha,tafta na uziondoe 7bu zinazokukwa pia kua busy na hiyo hali itaondoka taratibu na utakua poa sana...
 
Hamna bro, hapo lazima kuna kitu unakitaman San sana n maisha mazur na hauna uhakika na haujui utatumia njia gan kuyafikia that's why unakua hvy. Plus hal ya sasa ndo unazid kuumia kabs
 
unaonekana hujafanya mpenz mda mrefu au umeathirika na punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…