Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬

Wakuu mnisaidie hii ni hali ya kawaida? Na je nifanyeje kuepukana na hali hii ! Aiseee very painful 😖😖😖😖
 
Pole sana.
Kukojoa kitandani kwa miaka 27 siyo kawaida. Nenda hospital ukaonane na wataalamu usaidiwe.
Kila la kheri.
 
What you RESIST PERSIST.

Ukitaka kulishinda jambo unapaswa kutolichukulia kama TATIZO. It is a MAGNET or MIND MAGNETISM.

Unapaswa kufurahia kujikojolea, tamani kujikojoleaa, dhamiria kujikojoleaaa. UTASHANGAA HAUJIKOJOLEI NG'OO.

Vitu tunavyovipenda sana huwa vinaondolewa, halafu tunavyovichukia sana ndio tunaletewa mpaka vinafurika.

It is a TRICK, just play along the rules and see the miracles.

Sasa ole wako ujifanye ati unachukia kujikojolea, mara ati unatafuta sijui TIBA mpaka unaenda kwa sangoma, mara unakunywa maji ya mchele, HUPONI NG'OO.

Utakojoa mpaka godoro likikuona linajificha.

Cc: Pascal Mayalla Extrovert DR Mambo Jambo Poor Brain
 
Pole sana mkuu
Nenda hospital. Huwa naskia wanatumia dawa za mental maana shida inakuwa mentality

Wengine hutumia dawa za kiswahili.

Kwa sasa nunua cover Km za makochi ya gari. Tandika kwenye godoro, then ndio tandika shuka. Ikiwezekana vaa adult diaper madhal unalala peke yako.

Manake mikojo ya kila siku kwenye godoro utazalisha viroboto na mwisho wa siku watakuletea madhara ya ngozi utaota ukurutu
 
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬

Wakuu mnisaidie hii ni hali ya kawaida? Na je nifanyeje kuepukana na hali hii ! Aiseee very painful 😖😖😖😖
Huu uzi ungeuleta kwa I'd ya new member! Tunaanza kukudharau sana kikojozi!
 
Mambo ya haibu hutakiwi kuyaleta kwa I'd inayokupa heshima! Ona sasa! Hivi kuna mdada atakubali aolewe na mwanaume kikojozi? Kilasiku kufua na kuanika godoro! Tena hilo kojo la mtu mzima lazima limloweshe na mke wake! Mnaamka nyote mnanuka mikojo! Mxiuuuuh!
Ahahaja acha tu mfundishe jinsi ya kuishi jf
 
Kama umetumia Dawa Ila haujapona

Jaribu kucheza na mwili wako pamoja na akili .

Katika mwili
Zingatia muda wa kunywa maji
Ikifila saakumi jion punguza kunywa Sana maji .

Katika akili yako.
Usicon-concentrate na tatizo lako
Lichukulie tatizo lako Kama sehemu ya changamoto and not a problem

Kuwa na self-talk kwamba I'm no longer kikojozi na kujikojolea after get up.

Meditation , take time to meditate at least Kwa week mara 2
 
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬

Wakuu mnisaidie hii ni hali ya kawaida? Na je nifanyeje kuepukana na hali hii ! Aiseee very painful 😖😖😖😖
Kaka una tatizo kwakweli. Nenda kwa wataalam hospital
 
Back
Top Bottom