Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

ni suala la mentality,....nenda kakae ugenini, magetoni kwa washikaji hata wiki mbili,....huwa akili inaanza kukaa sawa,...ikiwezekana, kaishi ukweni, uwe unalala kwenye makochi sebuleni,..ukikojoa na hapo we umefuzu cheo cha grandmaster kikojozi,...
 
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬

Wakuu mnisaidie hii ni hali ya kawaida? Na je nifanyeje kuepukana na hali hii ! Aiseee very painful 😖😖😖😖
Hiyo inaonesha kuwa uko tied na roho yako yaani mwili wako na roho havitengani hasa wakati mwili wako uko unconscious ambapo inapelekea kile ufanyacho rohoni kufanya mwilini pia ndo maana unaota na kukifanya unachoota.
Pia bila kusahau sababu zingine ni
-kunywa maji mengi before bedtimes
-kutokukojoa before bedtimes
- kuchelewa kulala na kuamka
-matatizo ya kibofu na kushindwa kuhold mkojo
-magonjwa ya zinaa
 
Sasa iliyonitokea leo nahisi kuna shida mahali wakuu miaka 27 nakojoa kitandani daah tena ya leo kali nimeshituka usingizi daaah kujitazama kwenye godoro mkojo umetapakaa kwenye godoro na kwenye boxer kote kuna mikojo nikakaa kitandani na kuwaza kwanini hivi? Na why Mimi 😬😬😬

Wakuu mnisaidie hii ni hali ya kawaida? Na je nifanyeje kuepukana na hali hii ! Aiseee very painful 😖😖😖😖
Wewe ni KE au ME ?
 
Mkuu pole kw akukojoa kitandani nitafute kwa wakati wako ili niwezekukutibia maradhi yako uwezekupona.
 
Pole sana mkuu fanya mambo yafuatayo kudhibiti tatizo lako
1. Kojoa kabla ya kwenda kulala
2. Usinywe maji mengi kabla ya kulala
3. Ukiona choo au kichaka ndotoni usikojoe ni mtego huo
Daah hii komenti ya mwisho umeua mkuu 😂
 
Ni tatizo hilo, hebu Fanya hivi inaweza kukusaidia; chukua ndevu za muhindi kiasi Cha funda la viganja viwili chemsha kama unapika chai, maji nusu Lita asubuhi na jioni kwa wiki Moja. Ukipona tujulishe pia kama hutopona tujuze for further help.
 
Back
Top Bottom