Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

nipasie namba niishi naye mtoto mzuri nitamvumilia kojo
 
Sasa Kwa nini haukutipa huu mkasa huu kwenye ule uzi unaosema "ni kituko gani Cha aibu ulisha wahi kufanya maishani mwako".

Au ulidhani kukujoa kitandani ni jambo jema na la kipekee.
 
nipasie namba niishi naye mtoto mzuri nitamvumilia kojo
Usichokijua mikojo ya vikojozi wengi inanuka km Walevi wanaokunywa pombe chafu yaan km wanakula samadi au mboji ukiangalia wote mnakula ugali maharage ila wewe ukikojoa chooni mkojo hauna harufu kihivyo ila kikojozi akikojoa kitandani kwanza asubuhi lazima usikie harufu ya kojo ushawahi nusa kojo lililolala siku 3 sasa ndio kojo la kikojozi yaan kichwa lazima kiume na godoro lazima ulitoe nje, ndugu yangu Mimi nilikua nalala nae ni mkubwa ila jamaa analimwaga kojo asubuhi unasikia harufu ya kojo yaan kojo halijifichi akikojoa tu kuna mida ukishtuka unajua jamaa lishajikojolea halafu halina hata habari ndio kwanza linaukuruza usingizi, kibaya zaidi vikojozi wengi wakishaamka akishtuka kua amekojoa anatafuta mbinu ya kulificha kojo sasa ile harufu ya kojo unaifichaje wakati chumba kizima kinanuka mbaya, usiombee ulale na kikojozi ni tabu tupu
 
Kuna jamaa mmoja kikojozi aliyebobe analala na perfume, akigundua kuwa amekojoa basi anapulizia kitanda chote perfume lakini mimi bado ili harufu nilikuwa siikosi.

Sijui Nina pua kama ya panya magawa maana siyo Kwa kunusa kule.
 
Kuna jamaa mmoja kikojozi aliyebobe analala na perfume, akigundua kuwa amekojoa basi anapulizia kitanda chote perfume lakini mimi bado ili harufu nilikuwa siikosi.

Sijui Nina pua kama ya panya magawa maana siyo Kwa kunusa kule.
Vikojozi wabunifu sana, ndugu yangu alikua anaua harufu kwa kutumia mikate ya Supermarket ila wapi kojo ni kojo tu hata uweke nini harufu lazima itoke
 
Jinsi mnavyonipa pole mnahisi namaanisha kweli kumbe chai tu aisee
 
mkuu nimeamua kuzibeba hizo shida na kumtafutia tiba. ni ugonjwa huo tusiwanyanyapae. ni kama msemo hujafa hujaumbika, muda wowote unaweza kupata janga la kikojozi lina afadhali.
 
Huyu demu Huwezi amini kaolewa na jamaa mmoja anafanya kazi Ubaolizi wa Tanzania nchini Malawi,now yupo Malawi mkuu,Sina namba yake!
kuna mmoja toto la kihaya nilikua naikaza toto imejaza nyama za fillet tupu na inajua mizagamuo nayo ilikua kindumbwendumbwe mpaka inafika miaka 26. ila kuna jamaa kamuoa dokta specialist muhimbili tena kamuoa bado anakojoa. jamaa aliulizwa nasikia na wazazi utawezana?
 
Mkuu hii midubwasha huwa ni mitamu kinoma,sema tatizo lao ndiyo hilo,na vile ukijulikana unaishi na demu kikojozi utataniwa mpaka basi!
 
Na kushiba sn kabla kulala
Mtu Akishajua anajikojolea akilala ni vyema kula na kunywa vikaishia tangu saa 12 jioni
 
Ni wewe tu kuhakikisha masaa mawili kabla ya kulala usinywe kabisa maji au liquid aina yeyote
Na kama kwa umri huo uwe unaamka alfajiri na kwenda kukojoa
Alfajiri ndio tatizo lako amka mwamba kulala kwingi ndio tatizo
Kama mlevi sahau kutatua hili tatizo
 
mkuu nimeamua kuzibeba hizo shida na kumtafutia tiba. ni ugonjwa huo tusiwanyanyapae. ni kama msemo hujafa hujaumbika, muda wowote unaweza kupata janga la kikojozi lina afadhali.
Kujikojolea ni suala linafutika tatizo vikojozi wengi wanajisahau, kikojozi inabidi aishi mtu mkoloni mkoloni ndio dawa mwenyewe ataacha tu maana akikojoa kipondo
 
Ugonjwa hauna umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…