Tafuta NIDA upigiwe kuraKumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Nipigiwe kura ya nini mkuu!?Tafuta NIDA upigiwe kura
Kigoma tunakula MEMA ya MamaNipigiwe kura ya nini mkuu!?
Hili linahusikanaje na mada husika!?
Aaah sasa hii haihusiani na Warundi kudai Kigoma ni yao.Kigoma tunakula MEMA ya Mama
Watu wa kigoma wanasemaje Kwan......Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Wapo wanaosadikisha kuwa Kigoma ya Burundi na hao asili yao ni warundi.Watu wa kigoma wanasemaje Kwan......
Mbona burundi ni sehemu ya tanganyika labda wamesema burundi ni tanganyika hivyo watapakbana kuwa watanganyika.Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Uko sahihi mkuu,hata mimi hili limenishangaza na kuniogopesha.Kuna wajinga niliwaambia Kuna watu mnawaona wakimbizi ila nimeshawaona wakiwa sehemu fulani wakitimiza Majukumu ya kitaifa.
Kuna Jambo liatatokea kupitia kambi hizo.
Wawe Makin.
Inasikitisha sanaWapo wanaosadikisha kuwa Kigoma ya Burundi na hao asili yao ni warundi.
Wapo wanaopinga hilo.
Ila hili limeshika kasi hata mitandaoni madai ni haya haya.
Kawaulize wao, au we ndiyo mrundi? Bwege kweli huna ht haya?Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Burundi na Rwanda ndiyo sehemu ya Tanzania zinatakiwa kurudishwa Alex Chalamila awe mkuu wa Mkoa wa Rwanda na Kafulila awe mkuu wa Mkoa wa BurundiKumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Embu kuwa na ustaarabu pia kuwa na heshima. Nina uwezo wa kukuvunjia heshima pia. Jikite kwenye mada.Kawaulize wao, au we ndiyo mrundi? Bwege kweli huna ht haya?
We ngedere hujapitia ht shule ya msingi? Burundi na Rwanda ndiyo zilikuwa sehemu ya Tanganyika, ilimegwa na Ubelgiji baada ya vita ya kwanza ya dunia. Ni kwamba Tanzania haina shida ya ardhi na haiwataki hao wakabila banyamulenge ingelikuwa Tanganyika kurudisha wilaya zake hizo. Sema nani anataka kuishu nchi moja na mtutsi na mhutu?Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Aisee hata kama hizo Burundi na Rwanda ni zetu Tanzania ila hata tusizidai.Burundi na Rwanda ndiyo sehemu ya Tanzania zinatakiwa kurudishwa Alex Chalamila awe mkuu wa Mkoa wa Rwanda na Kafulila awe mkuu wa Mkoa wa Burundi
Heshima mwulize mamako aliyekuzaa, we bwege mburukenge usirudie kutuletea vinyesi humuEmbu kuwa na ustaarabu pia kuwa na heshima. Nina uwezo wa kukuvunjia heshima pia. Jikite kwenye mada.
Wenzako wamejibu kistaarabu na majadiliano yanaenda vizuri.
Nakusihi usitake kuharibia watu siku.
Sawa kijana!?
Hizo kelele wanazipigia wapi mkuu?Aisee hata kama hizo Burundi na Rwanda ni zetu Tanzania ila hata tusizidai.
Hawa wahutu na watutsi ni watu poisonic sana. Wana tribalism ya hali ya juu.
Pia hapo Kigoma Tanzania iwe makini sana na hao wanaovuka mipaka.
Sio kwa hizi kelele wanazopiga kudai Kigoma ni yao.
Wengine wapo TZ na wanajinasibu warundi ndani ya ardhi ya urundi iliyoibiwa na TZ.